1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mafuriko na kimbunga kusini mwa Tanzania

9 Mei 2024

Athari za mafuriko na kimbunga kusini mwa Tanzania bado zinashuhudiwa, ikiwemo kukatika kwa mawasiliano ya barabara na kusababisha adha ya usafiri. Wizara ya Ujenzi katika taifa hilo la Afrika mashariki imesema bado inafanyia kazi changamoto hiyo ili kurejesha huduma ya usafiri kwenye utaratibu wa kawaida.

https://p.dw.com/p/4ffZU